Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mataifa yatatembea kwa njia ya nuru yalo, na wafalme wa dunia wataleta utukufu wao ndani yalo.

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 21:24

  • Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 17. Ni nani walio “wafalme wa dunia” ambao ‘huleta utukufu wao’ ndani ya Yerusalemu Jipya?

      17 Basi, ni nani wale “wafalme wa dunia” ambao ‘wanaleta utukufu wao ndani yalo’? Wao si wafalme halisi wa dunia wakiwa kikundi, kwa maana wao wanaenda chini kwenye uharibifu wakipiga vita dhidi ya Ufalme wa Mungu kwenye Har–Magedoni. (Ufunuo 16:14, 16; 19:17, 18) Je! wafalme wangeweza kuwa watu mashuhuri wa mataifa wanaokuwa sehemu ya umati mkubwa, au je! wao ni wafalme waliofufuliwa ambao wanatii Ufalme wa Mungu katika ulimwengu mpya? (Mathayo 12:42) Hata, kwa sababu kwa sehemu iliyo kubwa, utukufu wa wafalme kama hao ulikuwa wa kilimwengu na tangu hapo umefifia. Basi, “wafalme wa dunia,” wanaoleta utukufu wao ndani ya Yerusalemu Jipya lazima wawe 144,000, ambao ‘walinunuliwa kutoka kila kabila na ulimi na kikundi cha watu na taifa’ wakatawale wakiwa wafalme pamoja na Mwana-Kondoo, Yesu Kristo. (Ufunuo 5:9, 10; 22:5, NW) Wanaleta utukufu wao waliopewa na Mungu ndani ya jiji waongezee mng’ao walo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki