-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na wao walisonga mbele juu ya upana wa dunia na kuzingira kambi ya watakatifu na jiji lenye kupendwa.”—Ufunuo 20:7-9a, NW.
-
-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
24. (a) Ni nini lililo “jiji lenye kupendwa” nalo linaweza kuzingirwaje? (b) Ni nini kinachowakilishwa na “kambi ya watakatifu”?
24 “Jiji lenye kupendwa” lazima liwe jiji ambalo Yesu Kristo aliyetukuzwa anasema juu yalo kwa wafuasi wake kwenye Ufunuo 3:12 na ambalo yeye anaita “jiji la Mungu wangu, Yerusalemu jipya ambalo hushuka kutoka katika mbingu kutoka kwa Mungu wangu.” Kwa kuwa hili ni tengenezo la kimbingu, kani hizo za kidunia zingewezaje ‘kulizingira’? Ni kwa vile wao huzingira “kambi ya watakatifu.”
-