-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Mimi nikaona pia jiji takatifu, Yerusalemu Jipya, likija chini kutoka katika mbingu kutoka kwa Mungu na limetayarishwa kama bibi-arusi aliyerembwa kwa ajili ya mume wake.” (Ufunuo 21:2, NW)
-
-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
‘Bibi-arusi huja chini kutoka katika mbingu,’ si kihalisi, bali katika maana ya kuelekeza uangalifu kwenye dunia. Bibi-arusi wa Mwana-Kondoo atakuwa mwenzi-msaidizi wake wa kifalme katika kuendesha serikali yenye uadilifu juu ya aina ya binadamu yote. Baraka kweli kweli kwa dunia mpya!
-