Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • “Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao.” (Isaya 65:23)

  • ‘Mkashangilie Daima kwa Ajili ya Hivi Niviumbavyo’
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 32 Yehova atatimizaje ahadi hizo katika ulimwengu mpya unaokuja? Tungoje tuone. Yehova hajaeleza jinsi kila kitu kitakavyokuwa, lakini tunaweza kuwa na hakika kwamba wanadamu waaminifu “hawatajitaabisha kwa kazi bure” tena. Umati mkubwa wa waokokaji wa Har-Magedoni na watoto wowote ambao huenda wakawazaa watakuwa na tazamio la maisha marefu ya kuridhisha—uhai wa milele!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki