-
“Fulizeni Kunitarajia”Mnara wa Mlinzi—1996 | Machi 1
-
-
Katika 632 K.W.K., Ninawi lilitekwa na kuharibiwa na muungano wa Wababiloni, Wamedi, na vikundi kutoka kaskazini, labda Waskaithia. Mwanahistoria Will Durant asimulia: “Jeshi la Wababiloni chini ya Nabopolasari liliungana na jeshi la Wamedi chini ya Siaksaresi na vikundi vya Waskaithia kutoka Kaukasi, na kwa urahisi na wepesi wenye kushangaza waliteka ngome za kaskazini. . . . Kwa pigo moja Ashuru ilipotea katika historia.” Hivyo ndivyo alivyotabiri Sefania.—Sefania 2:13-15.
-
-
“Fulizeni Kunitarajia”Mnara wa Mlinzi—1996 | Machi 1
-
-
Naye atanyosha mkono wake juu ya upande wa kaskazini, na kuiangamiza Ashuru; naye ataufanya Ninawi kuwa ukiwa, kuwa mahali pakavu kama jangwa.”—Sefania 2:8, 9, 13.
-