-
Mchango Wangu Katika Kuendeleza Elimu ya Biblia UlimwenguniMnara wa Mlinzi—2003 | Aprili 1
-
-
Baada ya mazoezi tuliyopata Gileadi, mimi na George tulipewa mgawo wa kwenda Mauritius, kisiwa kilicho katika Bahari ya Hindi. Tulifanya urafiki na wenyeji, tukajifunza lugha yao, na kuwafunza Biblia.
-
-
Mchango Wangu Katika Kuendeleza Elimu ya Biblia UlimwenguniMnara wa Mlinzi—2003 | Aprili 1
-
-
Miaka minane ilipita haraka, kisha kwenye kusanyiko la kimataifa lililofanywa New York mwaka wa 1958, nilikutana tena na Jean Hyde. Tulianzisha urafiki tena kisha tukawa wachumba. Mgawo wangu ulibadilishwa, nikatoka Mauritius kwenda Japan,
-