-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Karl Gunberg alikuwa ofisa katika jeshi la wanamaji kabla ya kuwa Mwanafunzi wa Biblia. Alianza upainia mwaka wa 1911 hivi akiwa na miaka 30 na kitu, na alijitegemeza kwa kufundisha watu jinsi ya kujua mwelekeo wanaposafiri majini au hewani. Ingawa Karl alionekana mkali, alikuwa mtu mzuri na mcheshi. Alihubiri kotekote nchini Norway mpaka alipozeeka, na ujuzi wake aliopata akiwa mwanajeshi na mwalimu wa mambo ya usafiri ulisaidia sana katika kueneza habari njema kama tutakavyoona.
-
-
Norway2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 98]
Mapainia wa kwanzakwanza: (1) Helga Hess, (2) Andreas Øiseth, (3) Karl Gunberg, (4) Hulda Andersen, na (5) Anna Andersen
-