Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Norway
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mmoja wao ni Even Gundersrud, mshiriki wa Kutaniko la Skien aliyebatizwa mwaka wa 1917. Mwanzoni, mke wake alificha viatu vya Even ili kumzuia asihudhurie mikutano. Lakini hilo halikumzuia. Alienda mikutanoni hata bila viatu! Pindi fulani, alimfungia katika chumba cha kulala lakini Even akatoka kupitia dirishani. Hakuna chochote mke wake angefanya ili kumzuia Even asihudhurie mikutano. Ijapokuwa hayo yote, Even aliendelea kumwonyesha fadhili. Mwanamke huyo akaanza kuona aibu kwamba mume wake anaenda jijini bila viatu. Akaanza kuandamana naye ili ajionee kile kilichomfanya Even aithamini sana mikutano. Hatimaye, yeye pia akawa Shahidi wa Yehova.

  • Norway
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 106]

      Even Gundersrud

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki