-
Mafuta Ni Muhimu Maishani MwakoAmkeni!—2003 | Novemba 8
-
-
a Nyakati nyingine mafuta huja juu ya ardhi kupitia mianya. Yanaweza kuwa majimaji au mazito kama lami, bereu, au bitumeni.
-
-
Mafuta Ni Muhimu Maishani MwakoAmkeni!—2003 | Novemba 8
-
-
[Sanduku katika ukurasa wa 3]
MAFUTA NI NINI?
Mafuta ni mchanganyiko mzito wa asili wa gesi na umajimaji wa haidrojeni na kaboni ambao unapatikana ardhini, unashika moto kwa urahisi, na una rangi nyeusi na manjano. Mchanganyiko huo unaweza kutenganishwa katika visehemu kama vile gesi ya asili, petroli, nafta, mafuta ya taa, mafuta ya kulainisha, nta, na lami, na hutumiwa kutengeneza bidhaa mbalimbali.
-