-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Hawa ndio ambao hawakujichafua wenyewe na wanawake; kwa kweli, wao ni mabikira. Hawa ndio ambao hufuliza kufuata Mwana-Kondoo si kitu aenda wapi. Hawa walinunuliwa kutoka miongoni mwa aina ya binadamu wakiwa matunda ya kwanza kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo,
-
-
Kuimba Wimbo Mpya wa Sherehe ya UshindiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Yesu alipokuwa duniani, yeye alikaribisha watu wenye mioyo inayofaa wamfuate. (Marko 8:34; 10:21; Yohana 1:43) Wale walioitikia waliiga njia yake ya maisha na wakatii mafundisho yake. Hivyo, katika pindi ya mwendo wao wa kidunia, wao “hufuliza kufuata Mwana-Kondoo si kitu aenda wapi” anapowaongoza kupitia ulimwengu wa Shetani.
-