-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Lilikuwa lina ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana na lilikuwa lina malango kumi na mawili, na kwenye malango malaika kumi na wawili, na majina yalikuwa yamechorwa ambayo ni yale ya makabila kumi na mawili ya wana wa Israeli.
-
-
Jiji Lenye Uzuri wa Kung’aaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4. Ni nini kinachoonyesha kwamba Yerusalemu Jipya si taifa la Israeli wa mnofu?
4 Kwenye malango yalo 12, yamechorwa majina ya makabila 12 ya Israeli. Kwa hiyo, jiji hili la ufananisho ni lenye 144,000, waliotiwa muhuri “kutoka kila kabila la wana wa Israeli.” (Ufunuo 7:4-8, NW)
-