Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Hekima ya Vitu vya Asili”
    Amkeni!—2007 | Machi
    • pia mapovu madogo sana ya gesi yenye kipenyo cha chini ya nanomita 200. Unywele wa mwanadamu una kipenyo cha nanomita 50,000 hivi. Kwa kawaida, mapovu madogo hivyo hutoweka haraka. Lakini watafiti huko Japani wamevumbua teknolojia ya kutokeza mapovu madogo sana ya oksijeni, ambayo huboresha “uwezo wa samaki na samaki-gamba kujipatanisha na mabadiliko katika mazingira.” Hata samaki wa maji baridi na maji ya chumvi waliishi pamoja katika kidimbwi kilichojazwa mapovu madogo sana ya oksijeni! Watafiti wanatumaini kwamba watapata njia za kutumia teknolojia hiyo mpya katika ufugaji wa samaki, ukulima, na katika mambo mengine.

  • “Hekima ya Vitu vya Asili”
    Amkeni!—2007 | Machi
    • [Picha katika ukurasa wa 24]

      Kidimbwi chenye mapovu madogo sana

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki