Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya Baali
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
    • Kati ya magofu hayo, wataalamu wamepata mabaki ya jumba la kifalme lenye vyumba karibu mia moja na viwanja vyenye meta karibu 10,000 ya mraba. Jumba hilo lilikuwa na mabomba, vyumba vya kuogea, na mfumo wa mabomba ya maji machafu. Vyombo vilifunikwa kwa dhahabu, mawe yenye thamani, na pembe za ndovu. Mbao zilizopambwa kwa uangalifu kwa pembe za ndovu zimepatikana. Bustani yenye kuzungukwa na ukuta na kidimbwi cha maji viliongezea uzuri wa jumba hilo.

  • Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya Baali
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Julai 15
    • [Picha katika ukurasa wa 25]

      Mabaki ya mwingilio unaoelekeza kwenye jumba la kifalme

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki