-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Ujenzi wa jumba la kifalme lililotumiwa na watawala katika majira ya kiangazi ulianza mwaka wa 1710.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Jumba la kwanza la kifalme lililojengwa kwa mawe lilikamilishwa katika mwaka wa 1714 na lingalipo hata leo. Jumba hilo lilijengwa kwa ajili ya mtawala wa kwanza wa jiji, Aleksandr Menshikov.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Jumba la kifalme lililotumiwa katika majira ya baridi kali lilijengwa karibu na Mto Neva, na lilijengwa tena mara kadhaa. Jumba la kifalme la majira ya baridi kali lenye vyumba 1,100 lilijengwa baadaye na bado lipo. Leo katika jumba hilo lenye kupendeza kuna jumba maarufu la makumbusho linaloitwa Hermitage.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
Katika kiunga cha Peterhof, kinachoitwa Petrodvorets leo, ujenzi wa Jumba Kuu la Kifalme ulianza katika mwaka wa 1714. Hayo yalikuwa makao ya Petro. Wakati uo huo, mke wa Petro alijengewa Jumba la Kifalme la Catherine lenye fahari katika mji ulio karibu wa Tsarskoe Selo, ambao leo unaitwa Pushkin. Baadaye katika karne hiyo, majumba mawili makubwa ya kifalme yalijengwa katika viunga viwili vya kusini, Pavlovsk na Gatchina.
-
-
St. Petersburg Ni Njia ya Urusi ya Kuelekea UlayaAmkeni!—2003 | Agosti 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 24, 25]
Jumba la kifalme lililotumiwa katika majira ya baridi kali karibu na Mto Neva, ambapo leo kuna jumba la makumbusho la Hermitage (kulia kabisa)
[Hisani]
The State Hermitage Museum, St. Petersburg
[Picha katika ukurasa wa 24, 25]
Jumba Kuu la Kifalme
-