-
Walio Wazee Ni Washiriki Wenye Thamani wa Undugu Wetu wa KikristoMnara wa Mlinzi—2004 | Mei 15
-
-
Nyakati za Biblia ilikuwa kawaida kuona mitende maridadi na iliyonyooka kwenye nyua za nyumba katika Nchi za Mashariki. Mbali na umaridadi wake, mitende pia ilithaminiwa kwa kuzaa matunda mengi. Mitende fulani iliendelea kuzaa matunda kwa miaka zaidi ya mia moja.a
-
-
Walio Wazee Ni Washiriki Wenye Thamani wa Undugu Wetu wa KikristoMnara wa Mlinzi—2004 | Mei 15
-
-
a Kila kishada cha tende kinaweza kuwa na tende elfu moja na uzito wa kilogramu nane au zaidi. Mwandishi mmoja anakadiria kwamba “kila [mtende] unaozaa matunda utakuwa umewanufaisha wamiliki wake kwa tani mbili au tatu za tende kabla ya kuacha kuzaa.”
-