-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika 1945, wamishonari wengine walikuwa wakisaidia kupanga kitengenezo vizuri zaidi kazi ya kuhubiri katika Barbados, Brazili, Honduras ya Uingereza (sasa ni Belize), Chile, Kolombia, El Salvador, Guatemala, Haiti, Jamaika, Nikaragua, Panama, na Uruguai.
-