-
Apokalipsi—Je, Tuiogope Au Tuitumainie?Mnara wa Mlinzi—1999 | Desemba 1
-
-
Kuhusu Papias, ambaye inasemekana aliuawa huko Pergamum kwa sababu ya imani yake mwaka wa 161 au 165 W.K., kichapo The Catholic Encyclopedia chasema: “Inaonekana Askofu Papias wa Hierapolis, mfuasi wa Mtakatifu Yohana, alitetea fundisho la milenia. Alidai kwamba alifundishwa na watu walioishi wakati wa Mitume,
-
-
Apokalipsi—Je, Tuiogope Au Tuitumainie?Mnara wa Mlinzi—1999 | Desemba 1
-
-
Kulingana na Eusebius . . . Papias alisisitiza katika kitabu chake kwamba ufufuo wa wafu ungefuatwa na miaka elfu moja ya ufalme wa kidunia wa Kristo ulio halisi na mtukufu.”
-