Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Miongoni mwao walikuwa Tom na Rowena Kitto, waliojipata upesi katika Papua, ambako wakati huo hakukuwako Mashahidi. Walianza kazi yao miongoni mwa watu wa Ulaya katika Port Moresby. Katika muda mfupi, walikuwa wakitumia jioni katika Hanuabada, kile “Kijiji Kikubwa,” pamoja na kikundi cha Wapapua 30 hadi 40 waliokuwa na njaa ya kiroho. Kutoka kwao, ujumbe ukaenea kwenye vile vijiji vingine. Katika muda mfupi, watu wa Kerema wakapeleka ujumbe wakiomba kwamba funzo la Biblia liongozwe pamoja nao. Halafu mkuu wa kijiji kutoka Haima akaja, akisihi: “Tafadhali njooni mfundishe watu wangu juu ya kweli!” Na hivyo kweli ikaenea.

  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 471]

      Katika kuitikia mwito uliotolewa wa wenye kujitolea, Tom na Rowena Kitto walihamia Papua kufundisha kweli ya Biblia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki