-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Heni Heni Nioki, aliyekuwa mchawi wa kabila la Koiari alipata baadhi ya vichapo hivyo. Baada ya hapo, kweli za Biblia ambazo alijifunza zilikaa moyoni mwake zikisubiri Mashahidi wa Yehova warudi na kutia maji kilichokuwa kimepandwa.—1 Kor. 3:6.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Raho na Konio Rakatani, Oda Sioni, Geua Nioki na mume wake, Heni Heni aliyekuwa amepata vichapo kutoka kwa wahubiri waliowasili katika mashua inayoitwa Lightbearer miaka 16 mapema, ni baadhi ya wale ambao walichukua msimamo imara kwa ajili ya kweli. Punde si punde, watu 30 hivi walikuwa wakihudhuria mikutano kwa ukawaida katika nyumba ya Heni Heni.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 78]
Wahubiri wa kwanza wenyeji, kuanzia kushoto kuelekea kulia: Bobogi Naiori, Heni Heni Nioki, Raho Rakatani, na Oda Sioni
-