Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Raho na Konio Rakatani, Oda Sioni, Geua Nioki na mume wake, Heni Heni aliyekuwa amepata vichapo kutoka kwa wahubiri waliowasili katika mashua inayoitwa Lightbearer miaka 16 mapema, ni baadhi ya wale ambao walichukua msimamo imara kwa ajili ya kweli. Punde si punde, watu 30 hivi walikuwa wakihudhuria mikutano kwa ukawaida katika nyumba ya Heni Heni.

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wakati huo mikutano ilikuwa ikifanywa nyumbani mwa Heni Heni Nioki, aliyekuwa akijifunza Biblia.

      Nilikuwa na umri wa miaka 13 na nilikuwa mwenye haya sana. Nilienda nyumbani kwa Heni Heni ambako wanakijiji 40 hivi walikuwa wamekusanyika, na nikaketi kimya nyuma ya kila mtu nikiwa nimefunika uso wangu kwa mikono. Nilifurahia mambo niliyosikia na hivyo nikarudi tena na tena. Baada ya muda, Heni Heni akaniomba nimtafsirie Tom Kitto kutoka Kiingereza hadi Kimotu, lugha iliyozungumzwa na wengi kati ya waliohudhuria.

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha]

      Mikutano ya kwanza ilifanywa katika nyumba ya Heni Heni

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki