Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Nyakati nyingine wapinzani wa kidini waliteketeza Majumba ya Ufalme yaliyojengwa kwa nyasi, kama ilivyotukia katika kijiji cha Agi, katika Mkoa wa Milne Bay. Hata hivyo, katika kisa hicho, mmoja wa watu walioteketeza jumba hilo, alikuwa mlevi wakati huo, na alijuta sana. Baadaye aliwafikia akina ndugu na kukubali kujifunza Biblia, naye akawa painia. Isitoshe, alikubaliwa kuishi katika nyumba ya mapainia iliyokuwa kando ya jumba hilo lililojengwa upya. Hivyo akawa mtunzaji wa jumba lililojengwa mahali palepale alipoteketeza lile la kwanza!

  • Papua New Guinea
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 123]

      Jumba la Ufalme huko Agi liliteketezwa lakini likajengwa upya na kupanuliwa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki