-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Gazeti Mnara wa Mlinzi lilianza kuchapishwa katika lugha ya Motu mwaka wa 1958, na katika lugha ya Tok Pisin mwaka wa 1960. Makala za funzo zilichapishwa huko Sydney, Australia, kwenye kurasa mojamoja ambazo ziliunganishwa kwa kibanio na kisha kusafirishwa kwa meli hadi Port Moresby. Katika mwaka wa 1970, kurasa ziliongezwa zikawa 24, na nakala zaidi ya 3,500 zilichapishwa.
-
-
Papua New Guinea2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kwa sasa, ofisi ya tawi hutayarisha gazeti Mnara wa Mlinzi mara mbili kwa mwezi na gazeti Amkeni! mara nne kwa mwaka katika lugha ya Tok Pisin na toleo la funzo la Mnara wa Mlinzi kila mwezi na toleo la watu wote mara nne kwa mwaka katika lugha ya Hiri Motu.
-