-
Yehova Ni Msaidizi WetuMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
a Mtunga-mashairi Mroma Horace (65—8 K.W.K.), aliyesafiri katika njia hiyohiyo, alieleza kuhusu magumu ya sehemu ya mwisho ya safari hiyo. Horace alisema kwamba Soko la Apio lilikuwa “limesongamana na wenye mashua na wenye mikahawa wachoyo.” Alilalamika kuhusu “chawa na vyura waliolaaniwa” na maji “mabaya sana.”
-
-
Yehova Ni Msaidizi WetuMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
Baadhi ya ndugu hao walikuwa wakimngojea katika Soko la Apio, kituo mashuhuri cha kupumzikia kilichokuwa umbali wa kilometa 74 hivi nje ya Roma.
-