Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kusanyiko la kimataifa la kwanza lilifanywa Tahiti mwaka wa 1969. Kulikuwa na wahubiri 124 tu kwenye visiwa hivyo wakati huo. Unaweza kuwazia jinsi walivyofurahi kuwakaribisha ndugu 210 kutoka nchi 16, kutia ndani Ndugu Frederick W. Franz, ndugu wa kwanza wa Baraza Linaloongoza kutembelea Tahiti. Kusanyiko hilo lililohudhuriwa na watu 610 liliwachochea sana ndugu, na mwaka uliofuata kulikuwa na ongezeko la asilimia 15.

  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 127]

      Kusanyiko la Kimataifa la “Amani Duniani” la mwaka wa 1969, ndilo la kwanza kufanywa Tahiti

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki