Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Mei 1
    • Kwa nini simulizi la Marko linasema kwamba Maria ‘alivunja chupa ya alabasta’? Kwa kawaida, chupa ya alabasta ilikuwa na shingo nyembamba ambayo ilizibwa kabisa ili kuzuia harufu ya marashi isitoke. Katika kitabu chake (Discoveries From the Time of Jesus), Alan Millard anasema hivi: “Ni rahisi kuwazia jinsi ambavyo mwanamke huyo aliyesisimuka angevunja [shingo ya chupa hiyo] bila kuifungua taratibu, na hivyo kumimina marashi yote mara moja.” Huenda ndiyo sababu ‘nyumba hiyo ilijaa harufu ya mafuta yenye marashi.’ (Yohana 12:3)

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Mei 1
    • [Picha katika ukurasa wa 31]

      Chupa ya Alabasta yenye marashi

      [Hisani]

      © Réunion des Musées Nationaux/Art Resource, NY

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki