Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Furaha Isiyo na Kifani!
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 1
    • Wazia jinsi nilivyohisi nilipowekwa kuwa mwangalizi-msimamizi wa Kutaniko la Callao majuma mawili baada ya kuwasili, huku nikijitahidi kujifunza lugha hiyo mpya!

  • Furaha Isiyo na Kifani!
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 1
    • Kwa hiyo mimi na Irene pamoja na dada wawili, Frances na Elizabeth Good kutoka Marekani, na wenzi wawili kutoka Kanada tulihamia wilaya ya San Borja. Baada ya miaka miwili au mitatu hivi, tulibarikiwa kupata kutaniko jingine lenye kusitawi.

      Tulipokuwa huko Huancayo, zaidi ya meta 3,000 kwenye nyanda za katikati, tulishirikiana na kutaniko lenye Mashahidi 80. Nikiwa huko, nilisaidia kujenga Jumba la Ufalme la pili nchini humo. Niliwekwa kuwa mwakilishi wa kisheria wa Mashahidi wa Yehova, kwa kuwa ilitubidi kwenda mahakamani mara tatu ili kutetea haki zetu za kisheria za kuimiliki ardhi tuliyonunua.

  • Furaha Isiyo na Kifani!
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 1
    • Mgawo wetu wa mwisho ulikuwa Breña, kitongoji kingine cha Lima. Kutaniko changamfu la huko lenye Mashahidi 70 liliongezeka haraka na kuwa na Mashahidi zaidi ya 100, na hivyo kutaniko jingine likaanzishwa huko Palominia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki