-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
wala tauni ipitayo gizani, wala uele uharibuo [“maangamizi yaharibuyo,” “NW”] adhuhuri.” (Zaburi 91:5, 6)
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Isitoshe, sisi hatuogopi “tauni ipitayo gizani.” Hii ni tauni ya mfano inayosababishwa na giza la ulimwengu huu ulio mgonjwa kiadili na kiroho ambao unakaa katika nguvu ya Shetani. (1 Yohana 5:19) Tauni hiyo hutokeza hali yenye kudhuru sana akili na moyo, ambayo huzuia watu wasimjue Yehova, makusudi yake, na maandalizi yake ya upendo. (1 Timotheo 6:4) Katikati ya giza hilo, sisi hatuogopi, kwa kuwa tuna nuru nyingi sana ya kiroho.—Zaburi 43:3.
-