Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kukirihi “Vitu Vyenye Kina Kirefu vya Shetani”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 10. (a) Ni kwa nini Yezebeli na watoto wake walipokea hukumu? (b) Wale wanaokuwa watoto wa Yezebeli wako katika hali gani ya hatari, na watu kama hao imewapasa wafanye nini?

      10 Akirejezea “huyo mwanamke Yezebeli,” Yesu anaendelea: “Na watoto wake mimi nitaua kwa tauni yenye kufisha, ili makundi yote yajue kwamba mimi ndiye ambaye huchunguza figo na mioyo, na mimi nitatoa kwa nyinyi mmoja mmoja kulingana na matendo yenu.” (Ufunuo 2:23, NW)

  • Kukirihi “Vitu Vyenye Kina Kirefu vya Shetani”
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Isipokuwa hawa wanatubu, wanageuka, na wanakubaliwa tena ndani ya kundi, wanakabili pia kifo cha kimwili kwa “tauni yenye kufisha”—mwishowe kabisa, katika ile dhiki kubwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki