Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Konstantino Mkubwa Je, Alikuwa Mtetezi wa Ukristo?
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Machi 15
    • Kichapo Catholic Encyclopedia chasema hivi: “Konstantino alionyesha dini zote mbili upendeleo sawa. Akiwa askofu mkuu aliitunza ibada ya kipagani na kuhami haki zake.” Konstantino hakupata kamwe kuwa Mkristo,” yataarifu ensaiklopedia Hidria, ikiongeza hivi: “Eusebius wa Kaisaria, aliyeandika wasifu wa Konstantino, asema kwamba Konstantino alipata kuwa Mkristo katika dakika za mwisho za uhai wake. Jambo hilo halisadikishi, kwa kuwa siku iliyotangulia, [Konstantino] alikuwa amemtolea Zeo dhabihu kwa sababu alikuwa pia na jina la cheo Askofu Mkuu.”

      Hadi siku ya kufa kwake mwaka wa 337 W.K., Konstantino alikuwa na jina la cheo la Askofu Mkuu, kiongozi mkuu wa mambo ya kidini.

  • Konstantino Mkubwa Je, Alikuwa Mtetezi wa Ukristo?
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Machi 15
    • Akiwa Askofu Mkuu mpagani—na kwa hiyo kiongozi wa kidini wa Milki ya Roma—Konstantino alijaribu kuwashawishi maaskofu wa kanisa lenye kuasi imani. Aliwatolea nyadhifa za mamlaka, umashuhuri, na mali wakiwa maofisa wa dini ya Serikali ya Roma. Kichapo Catholic Encyclopedia chakubali: “Maaskofu fulani, wakiwa wamepofushwa na fahari ya hiyo staha, hata walithubutu kumsifu huyo maliki kuwa malaika wa Mungu, kuwa mtu mtakatifu, na kutabiri kwamba angetawala mbinguni, sawa na Mwana wa Mungu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki