Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Walijaribu Kuwazuia Watu Wasilipate Neno la Mungu
    Amkeni!—2011 | Desemba
    • Kwa sababu hiyo, katika mwaka wa 1079 Vratislaus, dyuki wa Bohemia, alipoandika barua akiomba ruhusa ya kutumia Kislavonia katika ibada kanisani, Papa Gregory wa Saba alimjibu hivi: “Hatuwezi kwa njia yoyote kukubali ombi hili.” Kwa nini?

      “Kwa wale wanaochunguza jambo hili kwa uangalifu,” akasema Gregory, “ni wazi kwamba ilimpendeza Mungu kufanya sehemu fulani ya Maandiko Matakatifu isieleweke kabisa kwa sababu, ikiwa kila mtu angeelewa kila kitu, basi [Maandiko] yangefanywa kuwa ya kawaida tu na kuvunjiwa heshima au watu wasio na akili nyingi wangeyaelewa vibaya na hivyo waasi.”

  • Walijaribu Kuwazuia Watu Wasilipate Neno la Mungu
    Amkeni!—2011 | Desemba
    • 1079

      Papa Gregory wa Saba anakataa katakata ombi la Vratislaus la kutumia Kislavonia kanisani, akisema kwamba watu “wasio na akili nyingi” hawapaswi kuwa na Maandiko

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki