-
Biblia Iko Hai Hata Katika Lugha IliyokufaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
Tafsiri mpya ilichapishwa mwaka wa 1592 wakati wa Papa Klementi wa Nane na hatimaye iliitwa chapa ya Sixtus ya Klementi. Kwa muda mrefu tafsiri hiyo ilikuwa tafsiri rasmi ya Kanisa Katoliki. Vulgate ya Sixtus ya Klementi pia ilitumiwa kutafsiri Biblia za Kanisa Katoliki katika lugha za kienyeji, kama vile tafsiri ya Kiitaliano ya Antonio Martini ya mwaka wa 1781.
-
-
Biblia Iko Hai Hata Katika Lugha IliyokufaMnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 22]
Vulgate ya Sixtus ya Klementi, 1592
-