Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Mungu Ana Watu Wanaomtumikia kwa Utaratibu?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Juni 1
    • ▪ Wakristo wa kweli wamepangwa kwa utaratibu ili kutimiza kazi fulani. (Mathayo 24:14; 1 Timotheo 2:3, 4) Yesu aliwaamuru wafuasi wake wahubiri habari njema za Ufalme kwa mataifa yote, kazi ambayo haingewezekana bila kuwa na watu kutoka katika mataifa yote ambao wanaifanya kwa utaratibu na kwa umoja. Kwa mfano, unaweza kumlisha mtu mmoja peke yako, lakini kama ingekupasa kulisha maelfu ya watu, hata mamilioni, ungehitaji kikundi cha watu chenye utaratibu mzuri na kinachofanya kazi kwa ushirikiano. Ili kutimiza kazi yao, Wakristo wa kweli wanatumikia “bega kwa bega,” au “kwa moyo mmoja.” (Sefania 3:9; BHN) Je, ingewezekana kufanya kazi inayohusisha mataifa, lugha, na jamii mbalimbali bila kuwa na watu wenye utaratibu na umoja? Jibu ni wazi.

  • Je, Mungu Ana Watu Wanaomtumikia kwa Utaratibu?
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Juni 1
    • [Picha katika ukurasa wa 14, 15]

      Utaratibu unahitajiwa ili kuhubiri katika mataifa yote

      Kuhubiri nyumba kwa nyumba

      Kutoa misaada wakati wa msiba

      Makusanyiko

      Ujenzi wa majengo ya ibada

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki