-
Musa na Aroni—Wapiga-Mbiu Wenye Moyo Mkuu wa Neno la MunguMnara wa Mlinzi—1996 | Januari 15
-
-
Akiwa amepigwa na bumbuazi kwa muujiza huo, Farao akawaita makuhani wake wenye kufanya mizungu.a Kwa msaada wa nguvu za roho waovu, watu hawa waliweza kufanya jambo kama hilo kwa fimbo zao wenyewe.
-
-
Musa na Aroni—Wapiga-Mbiu Wenye Moyo Mkuu wa Neno la MunguMnara wa Mlinzi—1996 | Januari 15
-
-
a Neno la Kiebrania lililotafsiriwa “makuhani wenye kufanya mizungu” larejezea kikundi cha wachawi waliodai kuwa na uwezo mwingi sana upitao ule wa roho waovu. Iliaminiwa kwamba watu hawa wangeweza kuwaomba roho waovu wawatii na kwamba roho waovu hawakuwa na uwezo juu ya hawa wachawi.
-