-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Kufikia 1924, mashini ya kuchapa ilikuwa imesafirishwa hadi Cape Town.
-
-
Afrika Kusini2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Mwaka wa 1935, Andrew Jack, mchapaji stadi, alitumwa akasaidie kazi ya kuchapa katika ofisi ya tawi huko Cape Town. Alikuwa Mskoti, mwembamba, aliyependa kutabasamu. Awali alikuwa mtumishi wa wakati wote katika nchi za Baltiki za Lithuania, Latvia, na Estonia. Baada ya kufika Afrika Kusini, Andrew alipata vifaa zaidi vya kuchapa, na muda si muda mashini hiyo inayoendeshwa na mtu mmoja ikawa ikifanya kazi vilivyo. Mashini ya kwanza inayojiendesha yenyewe, inayoitwa Frontex, ilianza kutumiwa mwaka wa 1937. Kwa miaka zaidi ya 40, ilichapisha mamilioni ya vikaratasi vya ukaribishaji, fomu, na magazeti ya Kiafrikana.
-