-
Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Matbaa hiyo mpya inaweza pia kuchapa visehemu vya Biblia na vitabu. Kwa mfano, ofisi ya tawi ya Afrika Kusini tayari imechapa visehemu vya Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika Kisesotho, lugha moja ya Afrika Kusini.
-
-
Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Nchi nyingine ambazo zimepokea matbaa mpya aina ya MAN Roland Lithoman ni Afrika Kusini, Brazili, Japani, Mexico, na Uingereza.
-