-
Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika HudumaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Kufuatia ziara ya Ndugu Knorr katika Afrika Kusini katika 1948, sehemu ilinunuliwa katika Elandsfontein; na mapema katika 1952, ofisi ya tawi ilihamia kwenye kiwanda kipya huko—cha kwanza kilichojengwa hasa na Sosaiti katika Afrika Kusini. Wakitumia matbaa-tambarare mpya, walichapa magazeti katika lugha nane zinazotumiwa barani Afrika.
-
-
Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika HudumaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Ilikuwa hivyo pia katika Afrika Kusini, ambako fasihi za Biblia zilikuwa zikitokezwa katika lugha nyingi za Kiafrika.
-
-
Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika HudumaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 590, 591]
Elandsfontein, Afrika Kusini (1972)
-