-
Kitabu cha PekeeAmkeni!—2007 | Novemba
-
-
ZAIDI ya miaka 550 iliyopita, mwandishi Mjerumani, Johannes Gutenberg alianza uchapishaji kwa kutumia mashini ya kuchapishia yenye herufi zinazopangwa. Kitabu cha kwanza muhimu alichochapisha kilikuwa Biblia.a
-
-
Kitabu cha PekeeAmkeni!—2007 | Novemba
-
-
a Biblia ya Gutenberg ilikuwa tafsiri ya Kilatini nayo ilikamilika mwaka wa 1455 hivi.
[Picha katika ukurasa wa 4]
Mashini ya kuchapishia ya Gutenberg na ukurasa wa Biblia yake
[Hisani]
Press: Courtesy American Bible Society; page: © Image Asset Management/age fotostock
-