Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kikundi kimoja katika Uswisi kilianzisha kiwanda cha uchapaji katika Bern. Hilo lilikuwa shirika lao wenyewe la biashara. Lakini wote walikuwa Wanafunzi wa Biblia, na walitokeza fasihi za Sosaiti katika lugha za Ulaya kwa gharama ya chini sana. Baadaye, Sosaiti ilipata umiliki wa kiwanda hicho cha uchapaji na ikakipanua. Ili kujazia uhitaji wa haraka katika nchi za Ulaya zilizodhoofika kiuchumi wakati huo, kiasi kikubwa sana cha fasihi za bure kilitokezwa huko. Wakati wa miaka ya mwisho ya 1920, vichapo katika lugha nyingi vilisafirishwa kutoka kwa kiwanda hicho.

  • Kutokeza Fasihi za Biblia Ili Zitumiwe Katika Huduma
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 583]

      Kimojawapo viwanda vya kuchapa vya kwanza vya Sosaiti katika Ulaya (Bern, Uswisi)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki