Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Tafadhali, Itii Sauti ya Yehova”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
    • WANAOMTII YEHOVA HAWAKO PEKE YAO

      19. Mungu anaweza kukupa ulinzi gani ukimtii?

      19 Yehova hakuwalinda watu wake nyakati za zamani tu. Hata leo, Yehova huwalinda wanaomtii dhidi ya hatari ya kiroho. Kama vile ukuta mrefu ulivyoyalinda majiji ya zamani yasishambuliwe, sheria ya Mungu inawalinda wale wanaojifunza sheria hiyo na kuitumia. Je, utakaa ndani ya ukuta huo wenye ulinzi wa sheria za Mungu za maadili? Uwe na hakika kwamba mambo yatakuendea vema ukifanya hivyo. (Yer. 7:23) Mambo mengi yaliyoonwa yanathibitisha ukweli huo.​—Ona sanduku “Kumtii Yehova Ni Ulinzi,” katika ukurasa wa 78.

  • “Tafadhali, Itii Sauti ya Yehova”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki