-
“Vita Si Yenu Bali Ni ya Mungu”Amkeni!—2000 | Aprili 22
-
-
Kisha yeye binafsi akaamuru leseni ya kuuza divai ya Frank Roncarelli ambaye alikuwa mdhamini wetu mkuu, ifutiliwe mbali. Mkahawa wenye faida wa Ndugu Roncarelli katika Montreal ulifungwa baada ya miezi michache kwa sababu ya ukosefu wa divai, naye akafilisika.
-
-
“Vita Si Yenu Bali Ni ya Mungu”Amkeni!—2000 | Aprili 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 20]
Frank Roncarelli
[Hisani]
Courtesy Canada Wide
-