-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
2 “Na mimi nikaona malaika mwingine kabambe akishuka kutoka katika mbingu, akiwa amepambwa wingu, na upinde-mvua ulikuwa juu ya kichwa chake, na uso wake ulikuwa kama jua, na nyayo zake zilikuwa kama nguzo zenye moto.”—Ufunuo 10:1, NW.
-
-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Upinde-mvua huo juu ya kichwa chake hukumbusha sisi njozi ya Yohana ya mapema zaidi ya kiti cha ufalme cha Yehova, chenye “upinde-mvua kama emeraldi katika kuonekana.” (Ufunuo 4:3, NW; linga Ezekieli 1:28.) Upinde-mvua ulidokeza utulivu na amani inayozunguka kiti cha ufalme cha Mungu. Katika njia iyo hiyo, upinde-mvua huu juu ya kichwa cha malaika ungemtambulisha yeye kuwa mjumbe maalumu wa amani, “Mwana-Mfalme wa Amani” wa Yehova aliyetabiriwa.—Isaya 9:6, 7, NW.
-