Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • Hata hivyo, jiji la Geneva halikuwa makimbilio salama kwa kila mtu. Michael Servetus, aliyezaliwa 1511 nchini Hispania, alijifunza Kigiriki, Kilatini, na Kiebrania. Pia alisomea udaktari na labda alikutana na Calvin wakati wote wawili walipokuwa wanafunzi jijini Paris. Servetus alitambua kutokana na uchunguzi wake wa Biblia kwamba fundisho la Utatu si la Kimaandiko. Alijaribu kuwasiliana na Calvin kuhusu fundisho hilo, lakini Calvin akamwona kuwa adui. Kwa sababu ya kuteswa na Wakatoliki nchini Ufaransa, Servetus alikimbilia Geneva, jiji la Calvin. Badala ya kukaribishwa, alikamatwa, akahukumiwa kuwa mwasi wa kidini, na kuteketezwa kwenye mti mwaka wa 1553. Mwanahistoria Friedrich Oehninger anasema: “Kuuawa kwa Servetus ni jambo ambalo bado linatia doa maisha na kazi ya [Calvin], kiongozi mashuhuri wa marekebisho ya kidini.”

  • Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • [Picha katika ukurasa wa 20]

      Kuuawa kwa Servetus bado ni jambo linalotia doa maisha na kazi ya Calvin

      [Hisani]

      © Mary Evans Picture Library

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki