-
John Foxe—Aliishi Nyakati Zenye MsukosukoAmkeni!—2011 | Novemba
-
-
Miaka 150 hivi mapema, licha ya upinzani wa kanisa, Biblia ilikuwa imetafsiriwa kutoka Kilatini hadi Kiingereza na John Wycliffe, ambaye pia aliwazoeza wahubiri waliosafiri walioitwa Lollards.a Walibeba sehemu za Maandiko zilizoandikwa kwa mkono, ambazo waliwasomea watu. Bunge lilijaribu kuzuia utendaji huo. Kwa hiyo, mnamo 1401, bunge lilipitisha sheria iliyowapa maaskofu mamlaka ya kuwafunga, kuwatesa, na kuwateketeza waasi kwenye mti.
-
-
John Foxe—Aliishi Nyakati Zenye MsukosukoAmkeni!—2011 | Novemba
-
-
[Picha katika ukurasa wa 27]
John Wycliffe aliwatuma wahubiri waliosafiri walioitwa “Lollards”
[Hisani ya Picha]
From the book The Church of England: A History for the People, 1905, Vol. II
-