-
Kuhukumu Kahaba Mwenye Sifa MbayaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Chanzo chake katika mafumbo ya Babuloni huonyeshwa kwa njia ya kwamba mengi ya mafundisho na mazoea ya Kibabuloni ni mambo ya kawaida ya dini nyingi kotekote duniani. Mathalani, itikadi ya kwamba nafsi ya kibinadamu ina kutokufa, moto wa mateso, na utatu wa miungu itapatikana katika dini nyingi za Mashariki pamoja na katika mafarakano ya Jumuiya ya Wakristo.
-
-
Kuhukumu Kahaba Mwenye Sifa MbayaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4. (a) Ni katika njia zipi Israeli wa kale alifanya uasherati? (b) Ni katika njia gani ya kutokeza Babuloni Mkubwa amefanya uasherati?
4 Babuloni (au Babeli, kumaanisha “Mvurugo”) lilifikia kilele chalo cha ukubwa wakati wa Nebukadneza. Lilikuwa dola la dini-siasa lenye mahekalu na vikanisa zaidi ya elfu moja. Ukuhani walo ulitumia nguvu kubwa.
-