Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Lakini kwa habari ya ua ambao uko nje ya patakatifu pa hekalu, utupe nje kabisa na usiupime, kwa sababu umepewa kwa mataifa, na wao watakanyaga jiji takatifu kwa miezi arobaini na miwili.” (Ufunuo 11:2, NW) Tumeona kwamba ua wa ndani ni picha ya msimamo wa uadilifu duniani wa Wakristo waliozaliwa kwa roho. Kama tutakavyoona, rejezo hapa ni kwa miezi 42 halisi iliyoendelea kuanzia Desemba 1914 mpaka Juni 1918, wakati wote wadaio kuwa Wakristo walitiwa katika mtihani mkali.

  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 8. Wakati wa Vita ya Ulimwengu 1, wengi wa Wanafunzi wa Biblia walikuja kung’amua nini, lakini ni jambo gani ambalo hawakuthamini kikamili?

      8 Ingawa hivyo, vipi kikundi kidogo cha Wanafunzi wa Biblia? Je! wangepimwa mara hiyo katika 1914 kwa kushikamana kwao na viwango vya kimungu? La. Kama vile wale wanaodai kuwa Wakristo katika Jumuiya ya Wakristo, wao vilevile lazima watahiniwe. ‘Walitupwa nje kabisa, wakapewa kwa mataifa’ wajaribiwe vikali na kunyanyaswa. Wengi wao waling’amua kwamba hawapaswi kwenda nje wakaue binadamu mwenzao, lakini bado hawakuwa wamethamini kikamili kutokuwamo kwa Kikristo. (Mika 4:3; Yohana 17:14, 16; 1 Yohana 3:15) Chini ya mkazo kutoka mataifa, baadhi yao waliacha msimamo wao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki