-
Nuru kwa MataifaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Nami nitaweka ishara kati yao, nami nitawatuma hao waliookoka kwa mataifa, Tarshishi, na Puli, na Ludi, wavutao upinde, kwa Tubali na Yavani, visiwa vilivyo mbali; watu wasioisikia habari yangu, wala kuuona utukufu wangu; nao watahubiri utukufu wangu katika mataifa.”—Isaya 66:19.
-
-
Nuru kwa MataifaUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Leo Wakristo watiwa-mafuta, wanaopata ufanisi katika nchi yao iliyorudishiwa hali nzuri, wanakuwa kama ishara ya kugutusha duniani. (Isaya 66:8) Wao ni ushuhuda halisi wa kuonyesha kwamba roho ya Yehova ina nguvu za kuvuta watu watiifu wanaosukumwa na mioyo yao kumtumikia Yehova.
-