-
“Ufufuo wa Kwanza”—Unaendelea Sasa!Mnara wa Mlinzi—2007 | Januari 1
-
-
Je, watiwa-mafuta wote watapokea thawabu yao ya kimbingu kabla ya vita vya Har–Magedoni? Hatujui.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2007 | Januari 1
-
-
Pepo nne za dhiki zitakapoachiliwa, Waisraeli wote wa kiroho watakuwa wametiwa muhuri mara ya mwisho, ingawa wachache kati yao watakuwa bado hai katika mwili na lazima wamalize mwendo wao wa kidunia.
-