-
Kuvumilia Chini ya Majaribu Humletea Yehova SifaMnara wa Mlinzi—2003 | Oktoba 1
-
-
Mara tu walipofika mahali salama, walionyesha shangwe na shukrani zao kwa Yehova katika hati yenye kichwa, “Azimio la Mashahidi wa Yehova 230 kutoka mataifa sita waliokusanyika msituni karibu na Schwerin huko Mecklenburg.” Katika hati hiyo walisema: “Kipindi kirefu cha majaribu kimeisha, na wale walionusurika, ambao waliponea chupuchupu, hawakuathiriwa na majaribu yaliyowapata. (Ona Danieli 3:27.) Badala yake, wanajawa na nguvu na uwezo kutoka kwa Yehova na wanangojea kwa hamu maagizo mapya kutoka kwa Mfalme ili kuendeleza mambo yanayohusu Ufalme.”c
-
-
Kuvumilia Chini ya Majaribu Humletea Yehova SifaMnara wa Mlinzi—2003 | Oktoba 1
-
-
c Kwa habari kamili kuhusu azimio hilo, ona kitabu 1974 Yearbook of Jehovah’s Witnesses, ukurasa wa 208-209. Mtu mmoja aliyenusurika msafara huo anaeleza yaliyompata kwenye toleo la Mnara wa Mlinzi la Januari 1, 1998, ukurasa wa 25-29.
-