-
Ndoa Inapaswa Kuwa Muungano wa KudumuAmkeni!—2002 | Februari 8
-
-
Kuonyesha Upendo na Heshima
Neno la Mungu linaamuru: “Katika kuonyeshana heshima iweni wenye kuongoza.” (Waroma 12:10) Ikiwezekana, jitolee kabla ya mwenzi wako kukuomba. Kwani, mwenzi wako hatathamini sana kile unachomfanyia unapokifanya tu baada ya kuombwa mara nyingi. Badala yake, wenzi wa ndoa wanapaswa kuzoea kuchukua hatua ya kwanza kuwaonyesha wenzi wao heshima.
-
-
Ndoa Inapaswa Kuwa Muungano wa KudumuAmkeni!—2002 | Februari 8
-
-
Na mke anaweza kumheshimu mume kwa njia iyo hiyo akijitahidi kuwa msaidizi anayemuunga mkono mume wake.—Mwanzo 21:12; Mithali 31:10-31.
-