Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ufufuo wa Kwanza”—Unaendelea Sasa!
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Januari 1
    • nao wakaambiwa wapumzike tena muda kidogo, mpaka ijazwe pia hesabu ya watumwa wenzao na ndugu zao waliokuwa karibu kuuawa kama vile wao pia walivyouawa.”—Ufunuo 6:10, 11.

  • “Ufufuo wa Kwanza”—Unaendelea Sasa!
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Januari 1
    • 17. Wale wanaopokea kanzu nyeupe ‘wanapumzika’ katika njia gani?

      17 Ni lazima watu hao waliotoka kufufuliwa “wapumzike.” Ni lazima wangojee kwa uvumilivu siku ya Mungu ya kisasi. “Watumwa wenzao,” yaani, Wakristo watiwa-mafuta ambao wangali duniani, wanapaswa kuthibitisha utimilifu wao chini ya majaribu. Wakati wa hukumu ya Mungu utakapofika, ‘pumziko’ hilo litakwisha. (Ufunuo 7:3) Wakati huo, wale waliofufuliwa watajiunga pamoja na Bwana Yesu Kristo katika kuwaharibu waovu, kutia ndani wale ambao walimwaga damu ya Wakristo wasio na hatia.—2 Wathesalonike 1:7-10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki